IMF yadumisha makadirio ya ukuaji wa uchumi wa dunia kwa mwaka huu kuwa asilimia 3.4
Shirika la Fedha la Kimataifa IMF limedumisha makadirio yake kuhusu
ukuaji wa uchumi wa dunia kwa mwaka 2017 na 2018 kuwa asilimia 3.4 na
3.6 mtawalia, huku likitahadharisha kuhusu uwezekano wa kutokea kwa hali
zisizotabirika.
IMF imesema, baada ya hali ya kudidimia kwa uchumi mwaka jana, shughuli za uchumi zinatarajiwa kuongezeka mwaka huu na mwaka kesho, hasa katika nchi zinazojitokeza kiuchumi na nchi zinazoendelea.
IMF imesema, baada ya hali ya kudidimia kwa uchumi mwaka jana, shughuli za uchumi zinatarajiwa kuongezeka mwaka huu na mwaka kesho, hasa katika nchi zinazojitokeza kiuchumi na nchi zinazoendelea.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA