Country Boy V/S Nchama The Best.....Bongo Fleva - Michano 101
Kwa wapenzi wa muziki wa kizazi kipya hasa ile miondoko ya kubattle nyuma ya mic, sasa huu ndio mwendelezo mwingine wa kile kipande kitamu cha MICHANO 101 ya BONGO FLEVA ya Clouds fm, ambayo inakimbizwa na mkali KENNEDY THE REMEDY.
Last time ulicheki wakali wawili yani T - Sigwa Vs Lord Bullet, anyway majibu unayo, sasa leo nakuletea wakwetu wakali wawili, hapa ni Country Boy Vs Nchama The Best.... tathimini battle hii kisha achia maoni yako hapo chini....

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA