Movie ya Fast & Furious 8 - Trailer yake imetoka, Icheki hapa.
Baada ya kutoka kwa movie kali ya Fast & Furious 7
mwaka 2015, ikiwa na rekodi ya kufikisha mauzo ya dola bilioni 1
duniani kupitia box-office na kuwa kwenye orodha ya movie 6 bora za muda
wote, sasa nikutoka katika kampuni ya Universal ambao ni waandaaji wa Fast & Furious 8.
Movie ya Fast & Furious 8 inatarajiwa kutoka rasmi ifikapo April 14, 2017 na itaoneshwa kwa mara ya kwanza nchini Ufaransa.
Walio Igiza filamuhii ni :-
|
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA