Computer toleo jipya aina ya Desktop 'Omen X' yenye uwezo mkubwa unaofananishwa na gari aina ya Ferari yazinduliwa.
Computer
inayofananishwa na gari aina ya Ferari kiutendaji kazi yatengenezwa. Komputa hii aina
ya desktop iliyopewa jina la Omen X, yenye muonekano kama vile spika imetengenezwa
na kampuni ya HP.
Kampuni hiyo
ya HP imedai kuwa aina hii ya komputa yenye muonekano kama vile spika,
imetengenezwa na sehemu tatu za kutolea hewa ili kuruhusu hewa kuzunguka katika
komputa hiyo, ambazo zitasaidia kuifanya muda wote kutokupata joto na hivyo kuongeza
utendaji kazi mzuri wa komputa hiyo.
Miongoni mwa
sifa chache za kompyuta hiyo ya Omen X ni pamoja na ili iweze kufanya kazi ikiwa
na vifaa vyote, itakugharimu dola 1,800, ambapo utapa vifaa vyake kama vile Intel
Core-i7 processor, 8GB of RAM, a 2TB hard drive supplemented by a 256GB
solid-state drive and an AMD Radeon RX 480 graphics card.
Kompyuta hii
pia imetengenezewa USB ports 10! Kompyuta ya kawaida ina kama port 2, 3 au 4
tu, lakini hii ni kiboko ya kompyuta wakwetu.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA