Video: Mtoto akutanishwa na pacha wa Baba yake, acha apagawee!!.
Hii
inafurahisha kiukweli, ebu vuta picha pale ambapo unakutanishwa na pacha wa mtu
wako wa karibu.
Sasa hii
imetokea kwa mtoto anayekadiriwa kuwa na umri kama wa mwaka mmoja hivi.
Video
iliyowekwa katika mtandao wa Youtube, inamuonesha mtoto huyo akiwa amebebwa na
baba yake huku mbele yake kukiwa na pacha wa Baba yake.
Credit: Times fm
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA