Moja kati ya msemo unaowika sana hapa nchini ni "HAPA KAZI TU", lakini sii msemo uliopo hapa nchini tu, hata kwingineko duniani. Moja kwa moja nikusogeze katika video hizi za watu wenye kasi ya hatari zaidi katika kazi duniani.....
Wakwetu hebu anza na hii hapo chini.....
VIDEO: Watu Wenye Kasi zaidi katika Kazi Duniani.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Tuesday, February 16, 2016
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA