WATANZANIA WAMKUKUMBUKA MWANDISHI WA TAMTHILIA YA "NGOSWE PENZI KITOVU CHA UZEMBE" EDWIN SEMZABA.
Ni siku takribani mbili sasa toka mwandishi wa vitabu nchini maarufu kama Edwin Semzaba atutoke, jambo ambalo watanzania wengi wamefikwa na smanzi.
Kwa wale wote kwa bahati nzuri waliopata time ya kukisoma kitabu hiki cha "Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe" na vitabu vingine vya mtunzi huyu, basi mtaungana na mamilioni ya wapenda Tamthilia nchini kumuombea 'Edwin Semzaba' apumzike kwa amani.
Unakumbuka ni sehemu gani uliyoipenda katika kitabu hiki?
Semzaba pia
aliandika tamthilia nyingine kama vile Kinyamkera, Joseph na Josephne, Mkokoteni
na Sophia wa Gongo la Mboto.
Kwa wale wote kwa bahati nzuri waliopata time ya kukisoma kitabu hiki cha "Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe" na vitabu vingine vya mtunzi huyu, basi mtaungana na mamilioni ya wapenda Tamthilia nchini kumuombea 'Edwin Semzaba' apumzike kwa amani.
Hakika
mchango wake utakumbukwa na wapenda tamthilia na watanzania kwa ujumla kwani
mafundisho yake ndiyo maisha halisi katika jamii.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA