Mtu anaemfuga mbwa huyo anaitwa ZHU
amesema ametumia muda wa mwezi mmoja kumfundisha mbwa huyo kutembea kwa
miguu miwili kama binadamu, ana uwezo wa kutembea kilomita mbili wima
kama mwanadamu.
.
MAAJABU - MBWA ATEMBEA KAMA BINADAMU HUKO CHINA.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Thursday, March 12, 2015
Rating: 5