Kala Jeremiah na Roma wameungana kutengeneza ngoma mpya ‘Nchi ya Ahadi’
iliyotoka leo.
Kwenye wimbo huo Kala amechukua nafasi ya mwananchi
anayemuuliza maswali magumu Roma ambaye ni mwanasiasa anayetafuta nafasi
nyingine ya uongozi. Ni wimbo mzuri hasa kwa kipindi hiki. Usikilize.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA