VIDEO: BIG NATION MAFAYA FAYA - "MASSAWE".
Pata kutazama Video ya wimbo wa "Massawe" kutoka kwa The Big Nation Mafaya Faya, akiwemo G Faya Faya, Eleven Dj na
Taraa Sing, wakiwakilisha vyema Kaskazini mtaa wa Ilboru pande za
Arusha. Video imeongozwa na Director Justinoo wa Kucaz Video na Audio
imetoka Noizmekah Production Studios Chini ya @Defxtro Pakua audio
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA