Muigizaji, mtayarishaji na muongozaji wa filamu, Jacob Stevephen aka JB
anatarajia kuachia filamu mpya wiki ijayo iitwayo Mzee wa Swagga.
Filamu
hiyo iliyotayarishwa chini ya kampuni ya Jerusalem Film imeigizwa na
wasanii mahiri akiwemo JB, Cassie Kabwita, Wastara, Wellu Sengo na wengineo....
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA