Wimbo mpya kutoka Super star wa Reggae, Ragga na Dancehall kutoka nchini
Kenya – Nazizi. Wimbo unaitwa
OVER YOU na umeandaliwa na Producer SAPPY.
Wimbo huu umetoka kwenye E.P. ya Nazizi iitwayo
EVO LLUSION ambayo imetoka
chini ya label ya Lovechild records.
.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA