Haya ndio maneno alioandika wiki hii katika ukurasa wake wa Instagram kumuhusu Mrembo Melissa Magiera aliyemtumia katika wimbo wake wa "NTAMPATA WAPI"....
“Haya
sasa, najua mlikuwa mkisubiria kwa mda mreeeeefu, hii ndio Instagram Aacount ya
yule dada alonisaliti kwenye video ya #Ntampata_Wapi. .”
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA