Wiista baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu toka ajitoe Navy Kenzo na
Kujiunga na NGOMA Entertainement arudi kwa kishindo na
NAIYE, huku
akinukuuliwa akisema "2015 ni mwaka wangu, watu watalikumbuka jina la
Wiista, wakae mkao wa kula...Video inakuja karibuni".
.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA