VIDEO MPYA YA 'AY' - "TOUCH ME" KUACHIWA JUMATATU 24/2014.
Baada
ya ahadi nyingi hatimaye AY ameweka mezani tarehe rasmi ya kuachia video ya
wimbo wake aliomshirikisha Sean Kingston na Ms Triniti, itatoka Jumatatu
Nov.24.
“Hello, It’s Me Again… Ha Ha Ha, Unaweza Kusahau Kila
Kazi Ambayo Nimefanya Ili Tuanze UPPPPYAHH Na Hii?! S/O To @seankingston And Ms
Triniti For Blessing This One, Some People Said This Will Stay On Airwaves For
Sometime, And It Will Go Down As A Classic… I Believe Them Because That Was The
Whole Idea.
Nasema Asante… Asante Sana.
The Release Date: 24.11.2014 MONDAY” AY ameandika
kwenye mitandao ya kijamii.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA