Siku chache zilizopita msanii Jaguar wa Kenya alienda nchini Nigeria
kushoot video ya collabo yake na Iyanya. Jaguar ameachia audio ya wimbo huo
‘One Centemeter’ (remix). Video ya original version ilifanyika nchini
Afrika Kusini.
.
NEW AUDIO: JAGUAR FT. IYANYA - "ONE CENTIMETER" (Remix). mp3
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Friday, November 21, 2014
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA