Roma Mkatoliki anatarajia kuachia nyimbo mbili kwa mpigo kabla mwaka
haujamalizika. Miongoni mwa ngoma hizi ni pamoja na ile iitwayo One Two,
One Two itakayokuwa ikiendana na siku yake ya kuzaliwa.
NYIMBO MBILI MPYA ZA MSANII ROMA MKATOLIKI ZA NUKIA.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Monday, November 24, 2014
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA