Ben Pol amefanya kava ya wimbo wa msanii wa Uingereza, Sam Smith ‘Stay With
Me’. Kwa uwezo wa sauti yake kwenye wimbo huu ni wazi kuwa Ben ni msanii
bora wa rnb kuwahi kutokea Tanzania. Production imefanywa na Mswaki.....
NEW AUDIO: BEN POL - "STAY WITH ME". MP3
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Friday, September 26, 2014
Rating: 5