Hatimaye video mpya ya Linah aliyoifanya Afrika Kusini na muongozaji
GodFather imeachiwa rasmi. Wimbo unaitwa ‘Ole Themba, video na audio vyote
vimefanyika Afrika Kusini. Linah kwa sasa ana uongozi mpya uitwao "No
Fake Zone Entertainment" (NFZ), sasa tazama video yake hapo chini...
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA