Wednesday, May 28 2025

Header Ads

Breaking News
recent

TAMTHILIA YA "BE CAREFUL WITH MY HEART" INAVITUKO MWANZO MWISHO.

Hii ni Tamthilia ya kifilipino inayoonyeshwa katika Luninga ya hapa nyumbani, ambapo wapenzi wa Tamthilia nchini wanaonekana kuifuatilia kwa karibu kufuatia vituko vinavyofanywa na muigizaji mmoja anayefahamika kama 'MAYA'. Kama wewe unahamu ya kucheka basi fuatilia Tamthilia hii kila mara...

Hii ndio familia ya SIR CHIEF ambaye alifiwa na mke wake wakati Tamthilia hii ikianza, kitu kilichopelekea BABY ABBY kuacha kuongea na kuwa bubu mpaka leo. Lakini mtoto ABBY anakutana na MAYA (dada wa kazi) na kumpa matunzo na upendo sawa na wa marehemu mama yake.

SIR CHIEF na familia yao wanaishi maisha ya kitajiri, kwani anamiliki kampuni ya kutengeneza ndege, lakini anaonekana kuwa mpweke baada ya mke wake kufariki.....MAYA anaonekana kuvutiwa na BOSS wake je, nini kitakachoendelea baadae??..... KARIBU ASILI YETU TANZANIA BLOG.

Leave a Comment

Powered by Blogger.