Kundi lenye members wanne la Sauti Sol kutoka Kenya, limeachia wimbo mpya
uitwao ‘Sura Yako’, ikiwa ni single ya nne kutoka kwenye album yao ‘Live
and Die in Africa’ inayotarajiwa kutoka kabla mwaka huu kuisha. Wimbo huu
umefuata baada ya ‘Nishike’ iliyotoka miezi michache iliyopita.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA