Mwanamuziki kutoka Sweden maarufu kama SaRaha, ambaye pia amewahi kuishi Tanzania na amekuwa akiendelea kuitembelea Tanzania na kufanya nyimbo mbali mbali za kiswahili na wasanii mbali mbali wa Bongo, sasa ameachia wimbo wake mpya unaoitwa "SHAMEJI"... Usikilize hapo chini...
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA