NEW SONG: PROF J Ft. NIGGA J & J HUSTLE - "TATU CHAFU". MP3
Profesa Jay ameachia ngoma yake mpya, ‘Tatu Chafu’ iliyofanyika kwenye
studio yake, Mwanalizombe Records chini ya producer, Villy. Kwenye ngoma
hii, Professor J amewashirikisha J Hustle (ambaye ni Prof aliyekuwa
underground mwenye hasira na Nigga J aliyekuwa Hard Blasters Crew (HBC) na
Professor J ndio yule ‘The Heavy Weight MC’. Usikilize hapo chini....
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA