Header Ads

Breaking News
recent

NEW SONG: KITIFA Ft. RICH MAVOKO - "UNACHEZA NA NANI". MP3

Baada ya kutoka na "Maisha ya Mjini" wimbo aliomshirikisha msanii Linex sasa Mwanadada anayetamba kwa Rap za Kiswazi zaidi "KITIFA" ametoa ngoma nyingine aliyomshirikisha Rich Mavoko, ngoma inaitwa 'Unacheza na Nani' iliyoandaliwa katika studio za Legendary Music Tanzania.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.