Mwimbaji Ciara na mchumba wake rapper Future wamepata mtoto wa kiume
waliyempa jina la Future Zahir. Ciara na Future Ciara (28) amejifungua siku
ya Jumatatu asubuhi (May 19) huko Los Angeles, Marekani. Future Zahir ni
mtoto wa kwanza kwa Ciara na kwa Future anakuwa mtoto wanne. Jana Ciara
alipost picha ya mkono wa mwanaye Instagram..
MSANII 'CIARA AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME NA RAPPER 'FUTURE'.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Thursday, May 22, 2014
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA