Mh. Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Spika wa Bunge Mh. Anne Makinda mara baada ya kuwasili katika maazimisho ya miaka 30 ya kumbu kumbu za kifo cha Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine, yaliyofanyika nyumbani kwake Monduli.
Kutoka kulia ni Joseph Sokoine, Spika Anne Makinda, Mjane wa Edward Sokoine, Rais Kikwete, Mjane wa Sokoine, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa na Mama Maria Nyerere pamoja na viongozi mbali mbali wa kiserikali na dini.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada katika kaburi la hayati Edward Moringe Sokoine.
Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mh. Benjamin Mkapa akiweka shada katika kaburi la hayati Edward Moringe Sokoine.
Waziri mkuu mstaafu Salm Salm akiweka shada katika kaburi la hayati Edward Moringe Sokoine.
Mh. Edward Lowasa akiweka shada katika kaburi la hayati Edward Moringe Sokoine.
Spika wa bunge la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Anne Makinda akiweka shada katika kabuli.
Wanajeshi wa JWTZ wakiwa wamelizunguka kaburi la hayati waziri mkuu wa zamani Edward Moringe Sokoine.
 |
| Waziri Fenela Mukangara akianzisha rasmi mbio za Sokoine Kilometa 10. |
 |
| Huu ndio muonekano wa bara bara siku hiyo ambapo mvua ilikuwa ikinyesha na matope kutanda barabarani. |
 |
| Phabian Joseph mshindi wa kwanza wa kilometa 10 akimalizia mbio hizo. |
 |
| Mshindi wa pili kilomita 10 Alphonce Felix kutoka katika Club ya Holili. |
 |
| Dickson Marwa (Holili Club) ambaye mwaka jana alikuwa mshindi wa kwanza, lakini mwaka huu ameshika nafasi ya tatu. |
 |
| Mshindi wa kwanza Jackline Sakilu kwa kilometa 10 kwa upande wa wanawake (Winning Spirit Club) |
AUDIO YA TUKIO ZIMA INAKUJIA HIVI PUNDE HAPA HAPA "ASILI YETU TANZANIA".
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA