NI MIAKA MIWILI SASA, BAADA YA KIFO CHA STEVEN KANUMBA, WATANZANIA BADO WAMLILIA MITANDAONI.
Katika hali isiyozoeleka na kila binadamu hapa duniani, naikumbuka sana siku nilipojulishwa kuwa Nguli wa Filamu na mtu wa watu Steven Kanumba amefariki dunia, ilinifanya niendelee kumkumbuka kila nisikiapo jina lake.
Leo ikiwa ni miaka miwili tokea Kanumba atuache mashabiki wa filamu za hapa nyumbani Tanzania, watanzania wengi wazidi kumkumbuka na hata kuandika jumbe mbali mbali zenye majonzi na simanzi katika mitandao yao ya kijamii.
Hakika watanzania na mashabiki wa filamu nchini watazidi kukukumbuka na kuenzi kazi zako za filamu ulizowaachia. Pumzika kwa amani huko uliko. Amen.
BY: Asili Yetu Tanzania.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA