MAANDALIZI YA SOKOINE DAY MONDULI, LOWASA AYATEMBELEA.
Waziri
mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akipata maelezo kutoka kwa
watoto wa marehemu Edward Sokoine, Namelok Sokoine(mb) na Joseph Sokoine ambaye
ni afisa katika ubalozi wa Tanzania nchini Canada, kuhusiana na maandalizi ya
maadhimisho ya miaka 30 ya kifo Cha aliyekuwa waziri mkuu na mbunge wa Monduli
Marehemu Edward moringe Sokoine,yatakayofanyika kesho April 12.
Rais Jakaya Kikwete ataongoza maadhimisho hayo pamoja na marais na mawaziri wakuu wastaafu.


No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA