Header Ads

Breaking News
recent

VIDEO YA SHILOLE - "CHUNA BUZI YAKAMILIKA 97%.

Director na Producer anayetengeneza ngoma kali za video hapa Bongo, maarufu kama Nisher Bybee, amefunguka kupitia ukurasa wake wa Facebook kuwa, video ya wimbo wa "Chuna Buzi" wa Shilole anaoutengeneza, umekwisha kamilika kwa asilimia 97. So soon utadondoka hapa Asili Yetu Tanzania.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.