Huu ndio ule wimbo mtamu wa R&B unaoitwa "Likizo" ulioimbwa na aliyekuwa mtangazaji wa East Africa Radio Maiko Lukindo a.k.a "Mike" akimshirikisha "Joh Makini". Kama uliikosa audio ya wimbo huu basi tazama video yake hapo chini..
VIDEO MUSIC: MIKE Ft. JOH MAKINI - "LIKIZO".
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Saturday, March 29, 2014
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA