Header Ads

Breaking News
recent

REBEKA MALOPE (MUIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI) KUTOKA AFRIKA YA KUSINI KUTUMBUIZA TAMASHA LA PASAKA JIJINI MWANZA.

Muimbaji wa nyimbo za Injili Rebecca Malope kutoka Afrika ya kusini, anatarajiwa kukonga nyoyo za mashabiki wa muziki wa Injili jijini Mwanza, katika tamasha la Pasaka.

Rebecca akiwa kama mmoja wa wasanii maarufu hapa Afrika, atawapagawisha mamia ya watu jijini Mwanza Tarehe 5 April katika uwa nja wa CCM Kirumba, akisindikizwa na wananii wa nyimbo za Injiri wa hapa nyumbani Tanzania.

Hivyo kama wewe ni shabiki wa muziki wa Injili na huwa pia unakoshwa na nyimbo tamu za Rebecca Malope basi usikose siku hiyo.

Hivi karibuni niliandika habari moja kumuhusu "Rebecca Malope", unataka kuiona bofya hapa "REBECCA MALOPE".

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.