PICHA ZA MASTAA WAWILI WAREMBO WA TAMTHILIA ZA KIFILIPINO "CELYN NA CLARA".
Hayaaaa, wale wapenzi wa zile Tamthilia zinazozidi kufanya vizuri duniani na kukonga nyoyo za wengi, nadhani mtakuwa mmewasoma sana hawa warembo wawili ambao wanazidi kufanya vizuri katika Tamthilia yani Celyn wa "Her Mother's Daughter na Clara / Katerina, leo katika mitandao yao wametupia picha hii inayowaonyesha wakiwa pamoja. (huenda walishafanya kazi pamoja).

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA