FILAMU MPYA YA WEMA SEPETU INAITWA "MADAME"(Our Own Crazy Bosy Lady).
Filamu mpya aliyoigiza Wema Sepetu iitwayo Madame (Our Own Crazy Boss
Lady), inatarajiwa kuingia sokoni Alhamis hii.
Katika filamu hiyo,Wema ameigiza na wasanii wengine wakiwemo Simon Mwapagata a.k.a Rado, Sudi Ally, Maulid Ally na Deogratiaus Shija. Filamu hiyo imeandaliwa na kampuni ya Simulizi African Entertainment na inasambazwa na Steps Entertainment.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA