AsiliYetuTz: PICHA - HUYU NDIYE LUPITA NYONG'O (KENYA) - MSHINDI WA TUZO ZA OSCAR 2014.
Lupita Nyong'o ni muigizaji kutoka Kenya, anayefanya shughuli zake za uigizaji kule Marekani. Mwanadada huyu ameonekana kung'ara sana katika tuzo za Oscar za mwaka huu 2014 siku ya jumapili, ikiwa ni baada ya kunyakua tuzo ya muigizaji bora kupitia movie aliyoigiza ya "12 years a slave". Lupita sasa anamiaka 31.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA