Header Ads

Breaking News
recent

WIMBO MPYA WA QUEEN DARLEEN Ft. SHILOLE - "WANATETEMEKA". MP3

Msanii wa kike Queen Darleen ameachia single yake mpya kwa mwaka huu wa 2014 aliyomshirikisha Shilole, wimbo unaitwa ‘Wanatetemeka’ ambao umefanyika katika studio ya Mazuu ikiwa ni chini ya producer Mazuu mwenyewe. Usikilize hapo chini.....

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.