Header Ads

Breaking News
recent

AUDIO: WIMBO MPYA WA NGWEA Ft. MIRROR - "ALMA". MP3

Hatuko naye kimwili lakini sauti ya Ngwair bado tutaendea kusikia kwa nyimbo zake za zamani na mpya. Huu ni miongoni mwa nyimbo mpya za Ngwair. Wimbo unaitwa Alma ambayo ulikuwa utoke tangu mwaka jana. Kwenye wimbo huu, Ngwair amemshirikisha Mirror.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.