RikyVato anadrop na wimbo "BULLET"
juu ya beat ya TNS Riddim na vocal pande za Noizmekah, akiwa
amewashirikisha ShedyVato toka Vato Gangz, BAM kutoka Wasumbufu Camp
pamoja na kiongozi wa Vatoloco soldiers, FidoRambo aka FidoVato.. Sikiliza hapo chini...
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA