Sikiliza hapa ngoma mpya kutoka kwa Mwanadada Anapita ambaye ni mtangazaji wa East Africa radio, akimshirikisha Hellen,
ngoma inaitwa “Tunaweza”.
Leo pia tarehe 27/1/2014 ni siku yake ya kuzaliwa, hivyo Asili Yetu Tanzania inakutakia "HAPPY BIRTHDAY".
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA