MTANGAZAJI WA EAST AFRICA RADIO - ANNA PETER KUACHIA WIMBO MPYA - "UNAWEZA".
Anajulikana kwa jina la Anna Peter ni msanii pamoja na nimtangazaji
kutoka EA Radio, Jumatatu ijayo tarehe 27 atakuwa anakumbuka siku yake
yakuzaliwa kwa hiyo ameona siku hiyo aachie wimbo wake mpya ambao
utakuwa unawahusu Wasichana na Wanawake kwa ujumla, Wimbo huu ameupa
jina la TUNAWEZA.
Source: DJ Choka Music
Source: DJ Choka Music

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA