MTANGAZAJI WA BBC - "KOMLA DUMOR" KATIKA KIPINDI CHA TV - FOCUS ON AFRICA, AFARIKI DUNIA HUKO LONDON.
Kwa mujibu wa mtandao wa BBC NEWS umeripoti kuwa, mtangazaji huyu maarufu kutoka Ghana - "Komla Dumor" amefariki dunia akiwa nyumbani kwake London.
Marehemu Komla alijiunga na BBC mnamo mwaka 2007 akiwa kama mtangazaji wa radio, ambapo baada ya muda alionekana kuwa maarufu sana katika kipindi cha Luninga cha "Focus on Africa". Marehemu amefariki akiwa na umri wa miaka 41.
Msiba huu wa wapenzi wote wa vipindi vya BBC kikiwemo kile ambacho alikuwa akikiendesha marehemu Komla Dumor cha FOCUS ON AFRICA, umewafika kwa masikitiko makubwa na Afrika tutamkumbuka daima. Mungu ailaze Roho yake mahala pema peponi. Amen
Kwa taarifa zaidi ya habari hii bofya hapa BBC WORLD NEWS

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA