Header Ads

Breaking News
recent

MAMA WA MSANII "GENTRIEZ MWAKITABU" AFARIKI DUNIA.

Taarifa za kusikitisha tulizozipata kupitia ukurasa wa Facebook wa msanii wa muziki wa muziki wa kizazi kipya kutoka kundi la Weusi "Gentriez Mwakitabu" zimeeleza kuwa, mama wa msanii huyo ameaga dunia leo majira ya asubuhi.

Msiba uko Sinoni Daraja Mbili jijini Arusha. Asili Yetu Tanzania inakupatia pole ndugu yetu na kaka yetu Gentriez katika wakati huu mgumu. Mungu ammlaze mama yetu mahali pema peponi. Amen.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.