Header Ads

Breaking News
recent

USIKU WA P-SQUARE PALE LEADERS CLUB DAR ES SALAAM - NI SHIDA!

 Hatimae ile siku iliyokuwa ikisubiria kwa hamu na mashabiki wa muziki nchini, imefika ambapo leo huenda ikavunjwa rekodi za burudani hapa nchini, kwa mara ya kwanza kwa wasanii wa Afrika kupewa kipaumbele zaidi ya mastaa wa mataifa ya Amerika na Ulaya.

Nawazungumzia Mapacha wawili kutoka Nigeria yani Peter & Paul - (P-square) kuangusha show baabkubwa pamoja na wasanii wa hapa nyumbani kama vile Prof Jay, Ben Paul, Lady Jay Dee na wasanii wengine pale katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam leo usiku.

Kenedy The Remedy akizungumza na East Africa Radio leo amethibitisha kuwa ulinzi utakuwepo wa kutosha, ambapo pia milango ya kuingilia katika tukio itakuwepo takribani minane. Wahi tiketi yako katika matawi zinapopatikana.

 KUTAZAMA PICHA ZA TAMASHA HILI BONYEZA HAPA....PICHA PICHA

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.