Baada ya kuwa kimya kidogo kwenye game, sasa msanii maarufu kama Squizer
ameamua kurudi tena kwenye game kwa kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa
jina la Mtemi Pesa, ambapo ndani ya ngoma hii squizer amemshirikisha msanii
kutoka Moro maarufu kama Belle 9.
Isikilize track hii hapa chini...
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA