Baada ya kufanya vizuri na ile ngoma yake ya Closer, sasa mwanadada
Vanessa Mdee ameamua kuachia track yake nyingine mpya inayokwenda kwa
jina la Come Oveya producer. Ambapo mikono ya producer iliyohusika ndani
ya ngoma hii ni mikono ya producer Nahreel.
Sikiliza ngoma hii hapa chini...
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA