PICHA ZA BABY MADAHA AKIWA MTAANI AKIWAGAWIA MASHABIKI WAKE ZAWADI MBALI MBALI.
Kama lilivyo jina
lake, mwanadada Baby Madaha “Queen of Swagg” , siku ya leo aliamua
kutoka na swag zake kitofauti … kwa kuwafanyia surprise ya nguvu
mashabiki wake kwa kuwatembelea mitaani na kuwagawia zawadi … Zawadi
hizo ambazo zinakuwemo kwenye hand bags zake (product yake) manukato
mapya na audio cd bure.
Pia mwanadada huyo alionyesha upendo wake kwa watoto kwa kuwapatia midoli ya label ya candy n candy ambayo ni kampuni ya burudani inayomdhamini na kumsimamia katika kazi zake.
Ilikua ni balaa baada ya msanii huyo kuamua kutua pande za uswazi Tandale, Sinza kwa mtogole na Mwananyamala kisiwani akishow love kwa masela, wakinamama, wazee na watoto pia.

Baby Madaha akiwa na mashabiki wake mtaani.
Picha na NgongaMx
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA