Header Ads

Breaking News
recent

PICHA: JAY Z KWA MARA YA KWANZA KUZINDUA MARASHI YAKE YA KIUME YA "GOLD JAY Z".

Safari hii ni zamu ya rapper wa Rock Nation, namzungumzia Jay Z kudondosha mzigo wake mpya wa marashi ya kiume mwezi huu, ambayo ameyaita "Gold Jay z", ikiwa ni baada ya Diddy kutamba na marashi yake ya "Unforgivable", huku Nicki Minaj naye akinukisha watu na "Minajesty".

Baba wa Blue Ivy amefikia uamuzi huo wa kuwa dhahabu baada ya kukataa majina 3,200 yaliyopendekezwa kuitwa marashi hayo ya "Gold Jay z". Marashi hayo yatakuwa yana rangi tatu tofauti ambapo kwa makadilio ya bei ya marashi hayo yatakua ni takribani $39-$70.

Katika chupa hizo za marashi, vifuniko vyake vimezungukwa na maneno haya, “Power,” “Pride,” “Confidence,” “Strength,” “Success,” and “Courage.”

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.