PICHA: MSANII DIAMOND PLATNUMZ AWASILI LAGOS - NIGERIA.
Diamond hakutania aliposema muda si mrefu ataelekea Nigeria kwakina ‘oga’
kwaajili ya kumalizia kile alichokianza na star wa nchi hiyo Davido
alipokuja kutumbuiza katika Fiesta siku chache zilizopita. “Naija! we are
in Town Baby!!!!…. #Lagos #Nigeria #WCB #wasafi” Katika moja ya picha
alizopost baada ya kutua Naija, inamwonesha msafi akiwa amevaa t-shirt
nyeupe ya Born 2 Shine.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA