Header Ads

Breaking News
recent

PICHA: JUSTIN TIMBERLAKE ACHUKUA KIPENGELE CHA "MEN OF THE YEAR" JUU YA JARIDA LA GQ.

 Msanii wa miondoko ya Pop, namzungumzia Justin Timberlake aliyedondosha album ya ke ya muziki iliyokuwa na mauzo ya juu zaidi katika mwaka huu wa 2013. Justin ametokea katika moja ya  majarida matano tofautti yani hili la GQ, katika kipengele cha "Men Of The Year".

Wengine waliouza sura katika majarida hayo ni pamoja na Kendrick Lamar (“Rapper of the Year”), Matthew McConaughey (“Leading Man of the Year”), Will Ferrell (“Funnyman of the Year”) na wengineo.


No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.