Header Ads

Breaking News
recent

MUSIC VIDEO: AKON - "SO BLUE".

Baada ya kuwa kimia kwa muda wa miaka mitano alipoachia album yake ya muziki "Freedom", msanii huyu wa Komvict amekuja upya na single yake inayoitwa "So Blue" ambayo itakuwa katika album yake mpya ijayo, itakayofahamika kama "Stadium". Tazama video hii hapa...

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.