 |
| Pichani ni Jokate na Richie wakati wakicheza filamu hiyo. |
Baada ya kuwa nje ya tasnia ya filamu kwa kipindi kirefu, mrimbwende na mtangazaji Jokate Mwegelo hatimae sasa aigiza kama muhusika mkuu katika filamu ya JB inayofahamika kama "Mikono Salama".
Kwa mujibu wa Bongo5, filamu hiyo imewashirikisha magwiji wengine wa filamu nchini kama Richie na Irene Uwoya.
 |
| Irene Uwoya, John Karaghe na Jokate wakati wakiwa wakishoot filamu hiyo. |
Chini ya kampuni hyio ya JB - Jerusalem Film na waongozaji wa filamu hiyo, Adam Kwambiana na John Karaghe, Jokate ameigiza kwa jina la "Ndekwa".
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA